Juzi Kibaki,Moi &Raila were kidnaped.
They were taken 2 a town they dint knw. Kila mtu akaambiwa'
aende anunue matunda 10 ama auliwe. Moi alikuwa wa 1st kufika na machungwa 10.
Moi aliwekwa 3 ya nne akaanza kulia. Raila alikuwa wa pili
kufika na grapes kumi.
Kwa sababu zilikuwa ndogo aliwekwa kwa urahisi lakini
alipofikisha ya tisa, alicheka, zikatoka zote.
Akaulizwa mbona amecheka na alikuwa karibu kumaliza?
Raila akamjibu 'Nimeona Kibaki akibeba watermelon kumi'...hehehe.
This is just a joke. Take it as that

0 Comments